Home » » BODA BODA YA MWANA MAMA WA MTWARA

BODA BODA YA MWANA MAMA WA MTWARA

 Pikipiki ilirukiwa fasta na Mwana mama huyu, wasio mfahamu wengi walimshangaa, alivaa Kofia ngumu kisha akapachika pochi yake anapotaka na kisha akaiwasha. Huu ni usafiri wake anaoumiliki na huutumia mara zote katika mishe mishe zake.

 Safari ikaanza na gia ziilingizwa... mama huyu ni maarufu sana Mjini Mtwara

Truuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........nilikuwa naona vumbi tu linatimka na masihara niliyodhani anafanya kumbe ndio alikuwa akiondoka na huo ndio usafiri wake.

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Popular Posts

.

CHAT BOX

My Blog List

 
Support : BONGOCLANTZ
Copyright © 2013. KANGAROO - All Rights Reserved
Template Created by EDDIE SUCRE
Proudly powered by Blogger